Tatu Mzuka wamkabidhi IGP Sirro Kalenda 2000 kwaajili ya Jeshi la Polisi

   
- HD качество

Kampuni ya The Network inayoratibu michezo mbalimbali ya bahati nasibu ikiwemo Tatu Mzuka na Supa 5, Jumanne hii imemkabidhi Kamanda Mkuu wa jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro, kalenda 2000 kwaajili ya jeshi hilo. Akimkabidhi kalenda hizo ofisini kwake katika Makao Makuu ya jeshi hilo jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa kampuni hiyo, Sebastian Maganga, amesema wamezikabidhi kama ahadi waliyoitoa mwaka jana. Maganga amemshukuru IGP Sirro na jeshi la polisi kwa ushirikiano wanaoutoa kwa kampuni hiyo na kuahidi kufanya mengi makubwa siku za usoni. Naye IGP Sirro amewashukuru The Network kwa kalenda hizo na kuwaelezea kuwa ni 'wadau werevu' na kukiri kuwa zitawasaidia kuongeza usanifu na nidhamu ya muda kwakuwa ni vitu muhimu katika kazi za jeshi la polisi. Pia IGP amewataka wananchi kushirikiana na jeshi hilo katika kukabiliana na uhalifu kwa kutoa taarifa polisi kuhusiana na watu wanaojihusisha na na vitendo hivyo

Вы попали на страничку онлайн видео по фразе Tatu Mzuka wamkabidhi IGP Sirro Kalenda 2000 kwaajili ya Jeshi la Polisi. Если онлайн видео Tatu Mzuka wamkabidhi IGP Sirro Kalenda 2000 kwaajili ya Jeshi la Polisi Вам понравилось и Вы остались довольны результатом или наоборот, можете продолжить дискуссию комментарием ниже...

Мир в онлайне